@abusumayyah_o@JHagu50931 Ndiyo wameshatoa waraka wao, naona imekuchoma kama pasi ๐ ushauri wangu shughulika na mambo ya dini yako, yako mengi sana, hata kuwatembelea wagonjwa mahospitalini ni ibada, badala ya kuhangaika na masuala na taratibu za dini nyingine. Unajipa BP buree
@nguchiro47@Lyakale_@freemanmbowetz@YerickoNyerereT Kinachonishangaza ni kwamba kama kweli huyo Mbowe ana hizo sifa, na CDM imeshajifia, kwa nini msimsaidie chama chake kiwe chama namba moja cha upinzani?? Nyie mmeng'ang'ana ameondoka chama kimekufa, kikifa si ndiyo mfurahie na Mbowe aanzishe chama chake kama Zito alivyofanya?
@kapingasalex@killo_killo11 Ila kumbuka mlevi siku zote huzungumza ukweli wa moyo wake, hakuna mlevi anayesema uongo. Ukiwa kiongozi jaribu kwenda out na watumishi wako wapige bia za kutosha kama hutasikia wakikupa makavu live ๐
@MtataProMax Daah na hili nalo limekuuma tayari ๐๐ hivi hizi roho mbaya huwa mnazitoaga wapi?? Aliyoyapitia Lissu, wewe hata moja ya kumi kamwe usingeweza ku survive.
@DNdagala Acha kupotosha, wamekutwa wakizagamuana live, na wameonekana kwenye camera. Jambo hilo ni kinyume kabisa na taratibu za eneo hilo takatifu zaidi duniani. Hata kwenye misikiti yetu tuu huku bongo unawezaje kufanya hivyo?
@Bhyera@tylenol07@Sisimizi3 Yuko sahihi, huo ujasiri wa kumjadili mtu kisa magari makali unaupata wapi? Kwa nini msijadili kilimo ili utoboe? Watch your back..
@SnitskiJ@1ngadu1 Hoja yangu ni kwamba wewe mmoja au wawili humu hamuwezi kujiona mna akili sanaa kuliko hao mamia kwa maelfu wanaokwenda kwenye mikutano ya wanasiasa. Wana akili zao, tena pengine kukuzidi, tena nikiona huo mfano wako wa mamba ambao ni out of context, ndiyo naona uwezo wako.