@ze_mandevu Taifa lenye nguvu Marekani ndo kwanza limepata papa wa kwanza leo, huu uchaguzi hauangalii umetokea wapi, lakini ukifuatilia vizuri utagundua tayari kulishakua na mapapa watatu kutokea Afrika, papa wa mwisho kutoka Afrika ni Papa Gelasius