@bwaya@EduTalkTz@MayengoDr@DorothNengai Acha kushupaza shingo, baba anabariki mama anakazi ya kuombea na kuhekimisha! Characters gani katika biblia alibarikiwa na mama yake!!
Haya kadai baraka kwa mama yako uone kama utapata, sema nini hata shetani anajibu maombi shida ni ngumu kujua nani kakujibu, so hata baraka
@grok@RastripleJ@EduTalkTz@grok je kwa mujibu wa biblia mama anabariki au analo jukumu la kufundisha na kuhekimisha ilhali jukumu la kubariki likibaki kwa baba
Bro to bro
Mara moja moja, tembelea Divorce Court, na ufatilie Divorce case,
Hakuna mwanamke analilia upendo wala kujenga familia,
Wanacholilia ni kuondoka na Mali za Mwanaume, na kumuacha Mwanaume akiwa kwenye Great Economic Depression. Na sababu ingine ni Child support, hivi we kwenye ukuaji wako Ni mara ngapi ushawahi ona Watoto wanasaidia baba zao.
Bro hizo hela Kula, kuwa mnufaika wa kwanza wa Jasho lako,
Gari la milioni 20 CIF linaweza kugharimu zaidi ya milioni 33 mfukoni mwako baada ya kodi โ si kwa sababu ya "wizi," bali kwa sababu ya mfumo mzima wa Import Duty + Excise + VAT + tozo nyingine. Hii ndiyo hesabu halisi. ๐งต
5/ Hatuombi magari bure. Tunaomba mfumo wa kodi unaokusanya mapato bila kufanya gari kuwa anasa kwa mfanyakazi wa kati na mjasiriamali mdogo.
Maendeleo si kodi nyingi pekee โ ni uwezo wa mwananchi kuzalisha, kusafiri na kumiliki mali. Wakati wa kuujadili upya mfumo huu umefika.
@Bendevelarian98@officialshakuu Huu ni upande wa mwanamke, tayari ushamhukumu mwanaume unajua aliyokywa anapitia humo ndani. Givi unajua inachuukua gharama kuasi gani kumchagua kumtongoza na kumuoa mwanamke!?? Kama kamchukua kama mke , kuna shida ipo ila mmoja wao hayuko na hakuwa tayari kuzungumzia
@JacklineLyimo7@Oleloni@ahmed__ally Endelea kutoa huduma ktk vitanda vya ho..li ila mpira uache huwezi hata kusimamia familiz aweze mpira labda mpira wa co...