@ntiruhungwa49 @kaji_sijo Yes Mungu wa Libya na alifanya Yale aliyoyafanya kwa wananchi wake je nyie Mungu wa demokrasi TZ kawafanyia nini Tz na Africa kwa ujumlaaaa!???? Watu wanafanya wafanyayo kwa maslahi ya wananchi wao ndo maana saivi unaona Trump Yuko bize kutafuta faida kwy kila vita dunian kw ss.
@DrMeku@robertthebright@CarolNdosi Hatukataiii lkn ilipaswa hizo vocational trainings zipatikane kipindi unasoma o level au advance then ndo uende chuo for bachelor na sio vice versa sijui unaelewa!??? Kuna swala la umri na majukumu at this point aliemaliza degree amekaa mtaa miaka 5 then now unasema aende veta?
@shebi_iggo Mashabiki WA Simba na wao kesho waende dukani kwa dogo wamuungishe Tena zaidi yetu mbona dogo ataona hawajamtupa wao Wana kaa kumsimanga TU sisi tunataka kumboost kibiashara na kumpa moyo kua ndo mpira hahaha
@Africanxon @Odoyo06849275@zittokabwe Kama umesema kabila lake halisi analinua yeye wewe unawezaje kumterm ni muhutu wakati wewe sio yeye eti kisa ana support FDLR na ww unasupport M23 are serious on your common sense yani ww inataka watu wote wa fikilie kama ww sio!? Kubali kutofautiana ACHA ubaguzi