TechNaSisi Foundation has been registered under Non Governmental Act, 2002 with Reg No. 00NGO/R/4761 | Tech Innovators | #TechNaSisi | Innovation Starts Here
"May the solemnity of Good Friday remind you of the depth of God's love for humanity. Wishing you a day of reflection, renewal, and spiritual growth"
TechNaSisi wishing you a peaceful and Reflective good Friday.
This was a constructive dialogue. Kuna mtu mmoja alisema tusifocus na kuangalia threat za AI, tuangalie zaidi namna gani ya kuinovate matumizi ya AI.
Tuki-focus on threat tutajilimit kwenye Innovation. To more discussions like this๐
Tupo nyakati ambazo AI (Artificial intelligence) imekuwa na ushawishi mkubwa sana
Jiunge nasi leo usiku kuanzai saa 20: 30 usiku tujadili Fursa na madhara ya uwepo wa AI
Tutakuwa na panel ya wataalamu
@FredMaOfficial@gabyconscious@JSmartmind
Na wengine wengi, Karibu
Ni vizuri kuwaandaa watoto wetu mapama kujifunza ujuzi wa computer,
Changamoto kubwa ni "Ujuzi gani watoto wanapaswa kuanza kujifunza ili kujenga msingi wao katika computer?"
Usikose leo kwenye X-spaces kuanzia saa 2: 30 usiku tujadili
Kwa dunia ya leo, ni kitu kizuri sana kwa watoto kuanza kujifunza computer, swali kubwa ni umri sahihi.
Leo Jumapili saa 2: 30 USIKU tutakuwa na Space kushirikiana na taasisi ya @TechNaSisi tukiongelea zaidi hili.
Hii si ya kukosa ๐
Leo Jumapili saa 2: 30 USIKU, tutaangazia kwa mapama na huenda kujibu maswali mengi juu ya umri sahihi wa watoto kuanza kujifunza computer.
Usikose kuungana nasi ๐
Kwa kawaida, upi ni umri sahihi wa mtoto kuanza kujifunza mambo ya computer?
Kesho usikose kwenye space hosted by @TechNaSisi kushirikiana na @TOTTechs tujadili kwa kina (2: 30 - 4: 00 USIKU)
Maswali yamekuwa mengi juu ya umri sahihi wa watoto kuanza kujifunza computer.
Usikose kuungana nasi kesho Jumapili 24 November kwenye X sapaces kuanzia saa 2: 30 - 4: 00 usiku.
Maswali yatajibiwa.