@xFallbachox@BarcaUniversal Who said anything about Messi and Neymar?! Hate is consuming you so badly that you're trying to make some comparisons to make yourself feel better
@demoniocarnesim@BaldehMSB@DataOfStats Read history. When Idd Amin invaded Tanzania (1978), the most illegal war in African history,
Tanzanian forces faced a huge number of Libyan forces on the battlefield. He helped Amin against Nyerere only because he was a Muslim, forgetting that there are even Muslim people in Tan
@AbediAshir86089@ufntc@biggie96__@FKihamu Kwa hiyo ni sawa kushabikia wanaotetea na kupigania ushoga?! Maana tofauti ya Trump na Demos ni kuwa wale wako tayari kwa gharama yoyote ile ushoga uwe kawaida na hawafichi.
#TajiriLaKihaya
Ni kweli, Mwakimi amewahi kunitafuta DM mara Nyingi saana zaidi ya Mara 100+, toka Mar,2024.
Tumechat saana na kusaidiana katika mambo mbalimbali zaidi ya mara 20. Though hatujawahi kukutana wala kuonana!
Hata hivyo, kuhusu kinachoendelea sasa, sina sababu ya kutoa hukumu wala kushangazwa na chochote. Kwangu mimi, kutoa msaada ni suala la nia na moyo wa mtu.
Hata kama mtu alikuwa anadanganya au hakusema ukweli wote, hilo halibadilishi ukweli kwamba wakati ule kulikuwa na nia ya kusaidia.
Mimi naamini Mungu humlipa kila mtu kwa nia yake na kile kilichokuwa moyoni mwake wakati akifanya jambo fulani. Wakati mwingine tunafanya mema kwa watu ambao huenda hawakuwa waaminifu kwetu, lakini hilo lisitufanye tujute kwa wema tulioufanya.
Maisha yana mengi ya kujifunza. Si kila mtu tunayemsaidia atakuwa vile tulivyomtarajia, na si kila jambo linalotokea linahitaji hasira, majuto au kelele za mitandaoni.
Mimi nalichukulia hili kama sehemu ya maisha. Sina cha kushangaa wala cha kuhuzunika.
Nia njema haipotezi thamani yake kwa sababu ya matokeo yasiyotarajiwa.
๐งต Wewe unaesoma, ni mwaka toka wananchi wenzio walipouliwa, familia zao zilipobaki na simanzi ya kutowaona wapenzi wao tena katika maisha hapa duniani, na wengine kubaki na majeraha na makovu ya moja kwa moja. Wao walitangulia hivyo daima tutawakumbuka na kuwaenzi, ๐๐พ
In the world of politics, it's not surprising to see what The USA is doing. et.. sacrificing Ukraine and opening business (oil) with Russia after heavy sanctions against it just to win its war against Iran.