Wengi mnatumia computer na wengi mnatumia internet, hasa ofisini mnaunganisha na cable inaitwa Ethernet kutoka kwenye Ethernet Port (port ya internet ukutani).
Uki-connect Ethernet cable na computer yako kuna taa zinawaka rangi (green, orange etc)
Unajua maana yake?
Thread ๐
Kijana wa kiume between 25 - 30 hii inaweza kukusaidia.
Kibongo bongo huu ndio umri vijana wengi wanakuwa kwenye umri wa kujitafuta, wengi ni fresh from school, wenye bahati ndio wanakuwa kwenye ajira zao za kwanza wenye biashara nao ndio wameanza kuchanganya. Kwa kifupi wengi...
CPU processor, RAM, ROM, video card, GPU graphics processor, motherboard, na power supply na kazi zake kwa lugha rahisi.
Ka-uzi kafupi.
Kwenye Moyo wa Computer kuna kajamaa ambako kanaitwa CPU Processor, haka kajaa tunaita ni ubongo wa computer kazi yake kubwa ni kupokea, ๐
In a shocking new scam, savvy young men are creating fake M-Pesa transaction codes to trick retailers. This clever con has led to the theft of goods worth millions.
Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa,
Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudiasha nyuma kama usipoingia kwa akili?
Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini mpaka upendwe kwa dhati. Unaamini demu wako anawezakuwa drawback yako katika maendeleo? Sa skia mwanangu, usiruhusu mwanamke akutengenezee failure.
Kuna maoni mengi potofu kuhusu pesa na mahusiano kwa baadhi yetu vijana. Vijana tunapaswa kudhibiti uwezo wetu wa kutaka kuaminisha upendo kwa kuwapatia wanawake ambao sio wake zetu pesa.
Je, huna Mama, Baba, ndugu wanaohitaji?
Hao ndio unapaswa kuwasaidia na sio mpenzi wako na familia yake.
Hautosonga mbele
Mungu hatakubariki kwa kile unachofanya. Utabarikiwa na Mungu pale tu unapowasaidia wenye uhitaji, wazazi wako, mke wako na watoto wako.
Je, mpenzi wako ni mtu mwenye uhitaji maalum?
Je, ulikutana nae kwenye nyumba ya watoto yatima?
Ulikutana nae mitaani?
Je, alikuwa akiishi vipi kabla ya kukutana nae?
Nyote mnahitaji kuwa waangalifu juu ya jinsi mnavyojaribu ku'show love kwa mademu wenu. You also have to know that women are more loyal to their feelings than your sacrifices.
Ni bora mkewako akuulize kwamna
"what have you ever done for me?"
Kuliko akuulize dem hilo sio jukumu lako we sio baba yake. Wanawake wanapenda pesa, na ukitaka kuwapa kwa sana, hawatazikataa.
Lakini usifikiri kwamba matumizi yako juu yake, yatakuhakikishia chochote. Tumeona mara ngapi jinsi wanaume wanavyolipia ada mademu chuo, Na mwisho wake waliwaacha??
Unatakiwa kumpa nini mpenzi wako?
Zawadi za hapa na pale, kulipa bili unapoenda maeneo ya starehe, na mara chache unaweza kumsaidia kwa fedha kidogo pale tu inapohitajika.
Na hata sio inshu ya kufanya wiki chache baada ya kukutana nae. Lazima uchukue muda kumjua ni mtu wa aina gani.
Pesa yoyote unayotumia kwa demu sio investiment, haijalishi ni kidogo kiasi gani. So, fanya kidogo unachopaswa kufanya where necessary,
Lakini usije kuingia kwenye deni kwa sababu yake.
Usikope pesa kwa sababu ya mpenzi wako.
Usilipe ada zake
Usimlipe kodi.
Ngoja nikuambie.
Unachodaiwa na mpenzi wako ni yeye kukuona ukiendelea.
Acha akuite bahili lakini akiona maendeleo unayoyapata katika maisha atalazimika kuendana na mifumo yako kwa sababu anajua unajenga maisha yajayo.
Kama hataki kuwa na subira, mwache aende zake.
Yeye hatokulisha wewe.
Wewe ndiye utamlisha.
Kumpa pesa sana, unajiweka kwenye hali ya kushindwa kufanya maendeleo yako
Hutakuwa na akiba na hutapata baraka zozote kutoka kwake
Utakachopata ni usaliti, majuto na machozi.
Mnapopigiwa mademu hamuumii kisa kutombewa
Mnaumizwa na pesa na muda mliopoteza kwa watu ambao sio sahihi
Thank you for your time.
REPEATED.
Sema kuna wamama wengine bhna washakatika mshipa wa aibu
Kuna mmama flan hapa mtaani ana age kama 40 years hivi ni jirani yetu mweupe flan hiv afu mnene kidogo afu mumewake ana mawe hivyo bado yupo fresh kabisa.
Sasa toka zamani alikuaga anasema unajua wewe kijana nakupenda pia wewe ni hensam mi nikafikiria ananitaniaga aisee
Sasa saiv nimekua tayar naona mazoea yanazidi mara akinikuta natembea na msichana yoyote hata barabaran ana mind bure tu hata hanisalimik
Juzi kati kaniletea zawad ya saa, na simu kali afu na vipesa kidogo vya matumizi
Siku mbil mbel kanitumia text kua ananipenda sana namuumiza akiniona na wasichan wengine yupo tayar kunipa chochot nachotaka lakjn baht mbay ye ni mkubwa aisee watu wa mtaan wakihis natembea nae wataniona wa hovyo sana
Aisee nawaza kuhama huu mtaa ๐ข