@Samalentips@Samalentv WHAT IF? hao unaotaka kuwasaidia ndiyo sehemu ya mchezo huu? Una hakika gani huyu kijana si sehemu ya usalama wa taifa na hapo alipo yupo kimkakati na mwaka wa uchaguzi? Pili uoni kama ndani yake kuna vinasaba vya uchawa, umakonda, umwamposa au uchalamila?
@BesteNicolas Kwa mara ya kwanza maishani nashuhudia ujinga wa kiwango cha Phd. Yaani we ni sawa na mtu anayetafuta sumu ya kuua seli hai nyeupe za damu yake mwenyewe. Hao wadudu wapo kukusaidia wewe unayeishi katika mazingira duni au machafu yenye wadudu wengi ambao wangeidhuru afya yako.
@_zolendronic Werevu wachache ulimwenguni utambua kuwa DINI ni esoteric na ya kwamba chanzo cha yote ni OCCULT.Hivyo basi endeleeni kutimiza mzunguko wa gurudumu la zodiaki enyi star seeds. Sisi seer tunafurahi juu ya utukufu wa kazi tuliyoiumba ikitimizwa na generations. "As below above" NWO.
@ayubu_madenge KWA UJINGA WAKE HASA HASA: 1.Hakuwahi kujua umuhimu wa demokrasia 2. Alitunyima Katiba 3. Aliishi kwa kujitukuza 4. Akupenda ushauri a.k.a mr. Aambiliki 5. Chanzo cha uchawa na kukosekana kwa uhuru wa kujieleza 6. Akuna alichosaidia sarafu yetu 7. Mauaji na utekaji 8. Ufisadi
@otorael Anarudi kwani alienda wapi?๐ kwanini tuchezee uhai wa mtu kwa kufulia damu yake badala ya kutumia maji na sabuni?๐ค Kwanini nikubali kwenda motoni nikiwa na akili zangu timamu?๐คฃ๐คฃsmall mind always discuss fear and uncertainty..kwanini msitumie muda huo kufanya tahajudi.
@mr_darajani Tokea siku ile ulipomuasi Mungu ewe ADAM ulichangua KIFO. Naye Mungu kwa huruma yake akutaka uangamie hivyo akatuma NENO kwako kama ondoleo la dhambi ndiyo maana kuna ahadi ya kuishi milele. Na kwa sababu hiyo una nafasi nyingine ya kujisahihisha ulipokosea.ACHA DHAMBI.
@Sativa255 Ni wazi tunaongozwa na serikali iliyokwisha kufeli katika suala la ajira na kutengeneza fursa kwa ajili ya vijana wake. Jambo ni moja tu watupishe tujaribu akili mpya. Vijana tuache kuipatia siasa mgongo na tuwanie nafasi zetu ili tui-shape nchi yetu kuwa tunachotaka.
@Labella_Mafia95 Serikali inakiri imeshindwa kutengeneza fursa za ajira na upeo wao katika kusaidia vijana umekomea hapo. Ni wazi kuwa CCM haitufai tena vijana hamkeni tukafanye maamuzi katika uchaguzi huu kwa ajili ya majority yetu.Vijana wanapaswa kuajirika na kujiajiri wazee muda wao umeisha.
@Rayabubakar2@EduTalkTz Cdhan kama kungekuw na chokochoko baada ya watu kuchanganyika. Masuala ya udini, uzanzibari yangepungua pakubwa na ungebaki kuwa mkoa tu kama ilivyo mikoa ya pwani yenye idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiisilamu.Bila jeshi au dola isingeweza kujitenga, chukulia mfano wa Mombasa
@Rayabubakar2@EduTalkTz Kama kuna kosa Nyerere alilifanya basi ilikuwa ni kuruhusu muungano wa kidemokrasia kwa watu ambao hawajastaarabika. Zanzibar haikupaswa kupewa uhuru wa kuchagua kubakia kama Nchi bali ilipaswa kumezwa jumla kama mkoa wa Tz leo hii hzi kelele zisingekuwepo tungewaza maendeleo tu.
@EsirEid Eti mmetisha? Kweli mwehu huwa hajioni.Umenyimwa fursa ya kumjua Mungu wako kupitia utamaduni wako.Unawanyima fursa ya elimu binti zako kwa kisingizio cha madrassa.Umaskn umekthir kwa kulisha familia nyama za bure wanazogawa waarabu miskitni.Umekuwa mtalii na pesa wapeleka Makka.
@elonmusk There's nothing great about America just failed state with low intelligible people like trumpet and musketeers who think the world will stop rotating from it's axis simply because they have bogus ambitions they promised Americans.
@Labella_Mafia95 Ujinga wa CCM nikudhani wakipanga miji namna hiyo W*t*nzania akili zao zitafunguka na watatoka kwenye usingizi mzito na kuja kudai haki zao muhimu ikiwemo katiba๐ pengine wako sawa maana ukiishi katika mazingira mazuri na yenye kukupatia fursa kamwe huwezi fikiria uchawa.
@bajabiri Ninyime mbaazi utakuwa umeniepushia ushuzi๐sasa hizi takataka zina mchango gani kwa taifa? Isitoshe kuanzia lini wasanii wasiojielewa kama hawa, wasio na slogan yeyote zaidi ya kufuata mkumbo, ushawishi na tamaa ya pesa au vyeo waliwahi kufikiria kesho ya wananchi wenzao?
@godbless_lema Kwanini hamtofanikiwa: 1.Watz wengi tumeshajeruhiwa na mfumo wa CCM (hatuoni umuhimu tena wa kuchagua au kujihusisha na siasa taka) 2. Vyama vya upinzani havina ushirikiano 3. Hamna mbinu mbadala mnategemea maneno matupu (force jambo liwezekane hata by force) 4. Hamna sera.
@Labella_Mafia95 Hamna vita hapo zaidi ya porojo za kuhamisha mada kuu mezani ya HAKI SAWA YA UMILIKI WA ARDHI KWA WATU WOTE WA AFRIKA KUSINI BILA KUJALISHA RANGI ZA NGOZI ZAO. Hivyo huyo space X ni wakupuuzwa tu yupo hapo kwa maslahi ya wazungu wenzie na kuendeleza unyonyaji na ukandamizaji.
@yoramkaisa@adamlutta Kwani post inasemaje? Hao walioitwa miamba hapo juu hawajaguswa na sera za Trump kwa kuwa hawana sifa za kuguswa hata na sera zenyewe 1. Ni mataifa yaliyotopea ktk umasikini na ujinga wa kijamaa 2.hayana serikali (failed states) 3.Tajiri hawezi kudili nawe kama haoni cha kukuibia