Am very very happy kuona ndugu zangu Songa na Nikk Mbishi ndio wanamfanyia back vocal Profesa Jay...Its a real definition of hip hop, we love you Jay✌️..haters gonna hate but we move on
@fintanjr_ Yuko sahihi kabisa, Kwa kijana aliepitia Maisha ya kupambana kimpango wake kwenye Maisha ya Kubandua bandua hawez kukubali ili limtokee mtoto wake, yani mi Mwanangu ntampa Code zotee
KATAA DHARAU - Unaweza kuishi bila kazi ya Serikali,una umri wa kutetea principle kuliko chakula. Kwanza kwa umri wako ni lazima utakuwa na masharti ya kula.Kwa hiyo mboga za majani na matango huwezi shindwa.Mtazame Jenerali Ulimwengu/Prof Assad.