@MarekaMalili @AykerP Kuna mwamba alikuwa analalamika leoe mahala aligombea; anasema bila kuwa na angalau 500m hautoboi kwenye ubunge
So mtu anakusanya pesa ili agombee, unafikiri akipata si atalazimika airudishe 500 yake kwanza? Unakuta huo mwaka wa 3 kuelekea wa nne… unaishia kuwapa tshirt watu