TAMKO LA TSNP JUU YA SAKATA LA WANAFUNZI 21 WA KIDATO CHA SITA WALIOFUKUZWA SHULE SIKU CHACHE KABLA YA MTIHANI WA TAIFA (NECTA) KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA WAVULANA KARATU.
#SautiYaWanafunzi#tsnp#Tanzania
Nitatangaza nia yangu kuchukua fomu ya kuomba ridhaa katika jimbo langu @Musoma Pindi Muda sahihi utakapokwisha wadia,. Nipende kusema tuu kwa sasa, #TupambanieMaendeleoNaSiUkamilifu
Tunawatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha sita wanaofanya mtihani wa Taifa kote nchini kuanzia leo Juni 29, 2020.
Tunawakumbusha kuzingatia Sheria na kanuni za mitihani.
Mwenyezi Mungu awasimamie.
#Necta2020
Jana tuliadhimisha siku ya Bara letu la Africa. Ilikuwa tarehe 25, mnamo mwaka 1963.Viongozi wetu waliasisi Umoja wa Nchi huru za Africa (OAU). Umoja huo ulisaidia sana katika Ukombozi wa Bara letu. Hivi sasa… https://t.co/ZSzgIKrBU7
Wawakilishi wetu, Sisi Wananchi kupitia @bunge_tz Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu. Hususani katika Nyakati hizi ngumu za janga hili la kidunia #COVID_19 pandemic
Pia niwashukuru wawakilishi na viongozi kwa ujumla kwa kuzidi kuumiza vichwa @umwalimu, @majaliwa_kassim, kutoa maelezo elekezi juu ya kupambana na janga hili la kidunia