Mtaji siyo kikwazo cha kwanza kinachomfanya mtu asitekeleze malengo aliyejiwekea. Vikwazo tangulizi ni lengo/malengo yenyewe na jinsi ya kubadilisha malengo nadharia kuwa katika malengo vitendo.
#Mawazoyabalozi.
Hakuna kiasi maalumu cha pesa kilichopangwa kwamba ukifikisha kiwango hicho uwekeze, kiasi ulichonacho kinatosha kuwekeza.
No SI- UNIT FOR INVESTMENT CAPITAL.