HAYA MAUMIVU YASIKIE!!!!😭
Lakini maumivu haya iwe chachu(fuel) ya kuyakomesha,Kila mtu hajui kesho yake kama hatutakomesha mwendelezo wa uvujifu wa haki basi kila mtu mtarajiwa wa madhara. @MariaSTsehai@HildaNewton21@Twaha_Mwaipaya@lifeofmshaba
Mnaozuia Maandamano na kutisha watu tupeni uhalali kisheria kama hamna msitupigie kelele.Nchi ni makubaliano ya pamoja chini ya Katiba sio mitazamo ya wachache.
@HildaNewton21@mangekimambi@MariaSTsehai@MO29TV
@NaomiUliza Dada yangu Naomi,nimejaribu kuingia DM yako nitume wimbo wa "UTASHI WA KISIASA" DM yako imefungwa nimejaribu Kwa @laws19222 pia imekuwa hivyo hivyo
@Roma_Mkatoliki Sasa hivi hawana content wanaoenda na trend mfano beats zilivuma kwaito za SA,zikaja Nigerian beats,Mapiano beats and flavor from SA n.k naona saizi wamerudi Ubongo wa Fleva nowadays hakuna quality Kuna quantity, Producers wa Zamani walikuwa smart na serious
@YerickoNyerereT Hoja yako kubwa hapa ni kujionesha upo pamoja na CCM katika kuwashambulia EU definitely hapa unafanya biashara ya kujiuza Kwa CCM ili wakitaka kujionesha upo tayari wakutumie katika propaganda zao kama Mbunge wa Ukonga ACT na aliyegombea ubunge Jimbo la Mbagala kupitia CUF.