@Aunty_lulu Sema Kila mtu ana Price Tag yake. Hata wewe anti una Price tag yako unaweza kufika. Nafsi yako itaanza kusema "Kwani nini bwana?" Nitakuamini unavoendelea Kupambana lakini sijaweka miguu yote.
@zittokabwe Nikiwa kidato Cha 5 mwaka 2008 nilikuwa natamani sana Zitto awe Rais. Ni mtu mmoja alikuwa smart vibaya mno! Ila kadiri alivyokwenda mbele nikaanza kumwona anakuwa kama Lipumba tu. Siasa za Zitto zilikuwaga ni balaa 2005 Hadi 2010. Sahivi kama Nape tu.
@millardayo Mavi ya Popo. Polisi wa Tanzania wanachojua ni Kupiga virungu sioni tofauti na sungusungu. Hata hiyo taasisi itakuwa corrupted na ccm kazi yake itakuwa kuonea wanyonge na kukomesha wapinzani.
@Jambotv_ Huyu mama Kila siku lazima atoe Boko hata kumtetea ni vigumu sana. Sio kwamba ccm hakuna watu smart kumtetea, wapo ila wanashindwa hata kumtetea ndio maana watu smart Huwa wanakakisingizio kao utaskia wanaomshauri Rais wanamshauri vibaya ๐๐๐
@MariaSTsehai Tanzania Katika viongozi Wastaafu tunae Mmoja tu Mzee Warioba Sinde Joseph. Wengine Takataka. Hata kama ni Wazuri lakini kama wapo kimya wakati huu wahesabike ni Takataka.
@MariaSTsehai@TanganyikaLaw@SuluhuSamia Huyu Samia hapaswi Kuendelea na Urais. Kaharibu Nchi, kavuruga Umoja wa Kitaifa, ni mtu ambaye Hawezi kutuunganisha Watanzania badala yake anatugawanya kupitia vyama vya siasa, kupitia Dini na madhehebu pia. She is not deserved to serve in a Higher Authority in our Country.