@mdudechadematz @SuluhuSamia Nenda kwa wazazi wako wakakufunze heshima kijana. Huyo ni Rais wa nchi na page yake ni taasisi .
Unaichafua taasisi ndo nyie mkitiwa nyavuni mnalalamika..
Mama ruhusu hawa vibwengo watiwe nyavuni ni dharau kwako na kwa taifa zisizo na msingi
@MariaSTsehai Nilikuwa naongea na wananchi flani huku kijijini wanaamini ubunge ni kama cheo cha kuajiriwa. Hivyo mbunge ni kama mwalimu, dokta, etc.. Mbunge ameshatawala miaka 23 kwa sasa
@tzdyetu@SuluhuSamia Unatumia kichwa kama kifungashio cha meno... Hiyo miaka 60 yeye ndo alikuwa rais miaka yote? Watu watano wameshapita hawakujiuzulu yeye ajuliuzulu kwa lipi yani . anyway.. Yanga imetinga nusu fainali kongole mama samia suluhu hasan kwa sapoti yako