GEITA ASANTE SANA. Barabara ya lami si maendeleo ya kweli. Maendeleo ya msingi na yenye maana huanza kwa kuheshimu utu wa watu, haki zao, uhuru wao na usawa wao. Mambo mengine kama lami, majengo na miundombinu yanapaswa kuwa huduma za kawaida za dola, si mbadala wa haki za wananchi
Hii AURA na Influence Chadema walitoa wapi, CDM wakitoa tamko kuhusu kitu fulani, wanaokuja kujibu hoja hiyo ni wengi mno kuanzia Viongozi wa serikali,Wachungaji, Masheikh, vichaa, waganga, bodaboda, vijana wa Lumumba, na makundi mengine, au Chadema ndo chama tawala ๐๐
Greatness Tupu