On 9 April 2025 @TunduALissu - Chairman of @ChademaTz - was arrested. His alleged crime? Speaking at a peaceful rally. Calling for electoral reform. He now faces charges of treason and publishing false information. (1/4)
Nimepata taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika, kwamba hawa jamaa wamejadili na wanafikiria kunikamata.
Nataka niwambie wanachama wetu na Watanzania hakuna kurudi nyuma.
Ratiba yetu ya mikutano ya #NorefomsNoelection iko pale pale kama ilivyopangwa.
Hakuna kurudi nyuma hakuna kutikisika.
Kesho ni Ukonga.
“[@TunduALissu’s] indictment on treason charges related to his advocacy for electoral reform clearly indicate that the façade of progressive change … is crumbling and could presage a return to authoritarian rule in #Tanzania.”
https://t.co/GAGZ7wiDvc #FreeTunduLissu
@mapinduzinisasa@Nnauye_Nape Amka achana na ndoto za hovyo
Uliambiwa mbunge ni mtetezi wako😁😁😁mwenye kisu kikali ndio atakula nyama ingia kwenye mapambano.