Robert Kiyosaki. Mwandishi wa kitabu *Rich Dad Poor Dad* aliibua swali linalopinga namna mamilioni ya watoto wanavyoelimishwa.
Kwa nini shule hutumia miaka mingi kuwaandaa wanafunzi kwa mitihani kama vile SAT, huku wengi wakihitimu bila kuelewa mambo ya fedha?
👇
@BillyTronix1 Kuna mambo mengi sana hayasemwi juu ya hii nchi, ila ukikaa na waliotoka kule, walioishi kule, hiki kinachoonekana ni asilimia ndogo sana.
⚡️BIG: Iran's Powerful Clerical Body responsible for Appointing and Removing Iran's Supreme Leader says Withdrawal from the NPT and Revision of the country’s Defense Doctrine are Unavoidable
"The repeated threats from the aggressive enemy particularly those targeting the nation’s nuclear knowledge demonstrate that no reliance can be placed on the international institutions" says the Assembly of Experts
Kuna element nyingi sana zinazojenga uwezo wa mtu kujiamini, unaweza ukaondosha viboko na bado tatizo la kutojiamini likaendelea kuwepo vile vile.
Jamii nyingi za kale zilikuwa jamii za watu wenye nguvu, imara, wenye kujiamini, risk takers kushinda hata jamii za leo licha ya kuwa na adhabu mbalimbali ikiwemo viboko.
Akimkosea mwalimu Adabu au kosa lolote la kinidhamu shulemi serikali ndio ije kumuadhibu?
Wangapi walioadhibiwa kwa viboko na sio waoga na wanajiamini?
Mtoto anapolelewa katika mazingira ya kutoadhibiwa anapokosea, unajua kama mpaka ukubwani anakuwa anaamini akifanya makosa hakuna kuadhibiwa na akiadhibiwa huhisi kaonewa?
Unadhani mti unaomea kwenye ardhi teketeke na ule unaomea kwenye ardhi ngumu au mwamba ni upi huwa imara zaidi na mgumu kung'olewa?