Yote yalishasemwa… WAKAZI #TZHipHop
“Listen, internet ina athari kiuchumi
Huduma za Afya, Elimu, na Socially sio uvumi
Wanahabari wapo huru, Sheria zilizowafunga zipo hai
Alipewa kesi ya kutanga Freeman wa Hai
Political Oppression, Democracy Regression
Media zinabanwa, hakuna Freedom of Expression
Tuna mengi sana mama, lets put our words to actions
Naongea kwa niaba ya wana, through the speakers that I’m blasting”
@GeorgeJob14 Tuliwahi kuwa na Suarez ambae ni Bora zaidi ya Salah ila hatukuchukua epl, kuchukua league ni muunganiko wa defense nzuri, mid na mbele sio Salah tu. Koch pia