@Sincerelyrahma7 Ndoa hufungwa mara moja tu as a matter of law, kwahiyo ndoa halali ni ndoa ya kwanza no matter how it was celebrated either customary or whatsoever.
@MpingaN8675@Sativa255 Kwa mifumo ipi bwana mpinga? utakuja kusamehewa kwa huruma court of appeal huko hebu hesabu mgazi za haki mpaka kufika kwa wazee .