Vyakula Vinavyoongeza Uwezo wa Kujamiana: Nguvu na nyege ni muhimu katika kufurahia tendo la ndoa, maparachichi yanaweza kukupa vyote viwili. Maparachichi yana madini, mafuta (yanayolinda moyo na kupunguza lehemu) na vitamin B6 ambavyo vyote hukupa nguvu na nyege. #TibaFasta
Nikizungumza na wananchi baada ya kutembelea eneo litakalo jengwa Bandari mpya ya Bagamoyo ikiwa siku ya kwanza ya ziara yangu ya siku sita kuhamasisha shughuli za maendeleo mkoani Pwani.… https://t.co/Gwo1cw5DN0
kama ungemgawia kila mtanzania pato la maji basi kila mtu angepata mita za ujazo 1800 au mapipa 9000 kwa mwaka na sisi ni nchi ya nne kwa ukubwa wa maji huku ukanda wa kusini @kitilam#ChukuaHatua
#chikuahatua tusaidieni sana watu vijijini hasa kata ya nanguruwe mkoani mtwara (V)akinamama tunateseka kutembea usi tukitafuta maji@magufulijp@kefarmbogela @TZMsemajiMkuu @habarileo@soapomtwala
Sera ya maji imeweka msisitizo, serikali ina muongozo kwa kila halmashauri nchini ya uvunaji wa maji. Pia imeweka msisitizo kuwa katika kila jengo la wizara lazima kuwe na miundombinu ya kuvuna maji. Wizara ambazo hazifanyii kazi hili, hatua gani zinachukuliwa kwao?
#ChukuaHatua
Naomba kuuliza kuhusu bili za maji je huwa zinafanana kwa matumizi ya nyumbani na wanaotoa huduma za kuuza?#chukuaHatua ktk hili kwani kuna malalamiko upande wa watumiaji wa majumbani mh @kitilam@Msoapo@mohamed_mkulima@PaulKaswezi
#maji ni changamoto MBOGWE GEITA...jamani mnachokiona ni moja ya visima vinavyotumia na wanaMBOGWE kuchota maji ya kunywa na shughuli za nyumbani je hali hii typhoid itaisha kweli ?#chukuahatua
Mfululizo wa kuzungumza na viongozi kujadili kwa pamoja namna ya kutatua changamoto katika maeneo yaliyotuzunguka utaendelea wiki ijayo Jumatano, Septemba 26 ambapo itakuwa zamu ya MAJI tukiongea na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji @kitilam. Usikose #ChukuaHatua
Mjadala wa Kitaifa ni jukwaa huru kwa Wasichana na Wanawake Wadogo kuwasilisha changamoto zao kwa Serikali na Wadau kwa lengo la kupatiwa ufumbuzi.
Jumuika nasi jijini Dodoma katika utetezi wa #HakiYaAfya kwa Wasichana na Wanawake Wadogo.
Hongera serikali ya Tz kwa juhudi za kimaendeleo, ila wanakijiji wa kijiji cha Majengo Mtwara vijijini tunaomba mh @hawaghasia mbunge uendene na kasi ya mh @Mgufuli Jpm kwa maendeleo ya jimbo lako @azamtvtz@KefarMbogela@billmarwa@mohamed_mkulima