SERIKALI kuendelea kusogeza huduma za matibabu ya figo kwa kupokea jumla ya mashine 62 za kusafishia damu kwa wagonjwa wa figo zenye thamani ya shilingi Bilion 1.55, kutoka kwa kituo cha King Salman Humanitarian Aid and Relief kutoka nchi ya Saudi Arabia.
Wikiendi iliyopita, kikundi cha malezi cha wanaume katika kata ya Kibakwe, wilayani Mpwampwa mjini wametoa mafunzo ya kuelimisha jamii dhdi ya ukatili wa wanawake na watoto kwa kutumia filamu ya Fatuma na kujua madhara yake katika ngazi ya familia. #ZuiaUkatili#EndVAWC
This year's theme for International #DayofAfricanChild is "Mtoto ni Msingi wa Taifa Endelevu: Tumlinde, Tumtunze, na Kumuendeleza"
Investing in children is crucial to the well-being & sustainability of any society.
#UNTZ
Mdahalo wa Watoto katika kuhitimisha #SikuYaMtoto
Swali 5: Je, asasi zisizo za kiserikali zinatoa mchango wowote katika kuzuia ukatili dhidi ya watoto?
#JFLeo
"Niwaase watoto wenzangu kuwa ikitokea tumefanyiwa vitendo vya kikatili popote, basi tusifanye siri, tutoe taarifa. Aidha, ni muhimu tuhakikishe kuwa ushahidi wa vitendo tunavyofanyiwa unakuwa wazi. Mfano, usioge endapo umefanyiwa kitendo mwilini"~M/kiti wa watoto |#SikuYaMtoto|
"Niwaase watoto wenzangu kuwa ikitokea tumefanyiwa vitendo vya kikatili popote, basi tusifanye siri, tutoe taarifa. Aidha, ni muhimu tuhakikishe kuwa ushahidi wa vitendo tunavyofanyiwa unakuwa wazi. Mfano, usioge endapo umefanyiwa kitendo mwilini"~M/kiti wa watoto |#SikuYaMtoto|
#GlobalPeaceWomenTanzania Mungu aliumba mtu na kusudi lake, kila mmoja ana kipaji ama uwezo wa kipekee unaomtambulisha ama kumfanya awe wa msaada kwake na jamii inayomzunguka. Kwa mantiki hiyo kila mtu ana umuhimu wake bila ya kujali jinsia, ukoo, ulemavu nk
When women earn an income, they re-invest 90% in their families and communities"
This is spoken by the Canadian High Commisioner, Pamel O'Donnel during the BAHATI play.
#wd2019#girlsgetequal
Ripoti vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto katika dawati la jinsia (Kituo cha Polisi), ofisi ya ustawi wa jamii au piga namba 116 bila malipo. #ZuiaUkatili#EndVAWC
@maelezonews @WizaraUUM Tunaomba pia barabara inayotoka bukombe kwend nanda, nyangh'wale,msendamila hadi ilolangulu wilaya ya mbogwe itengenezwe kwani imesahaulika sana
Ni picha ya pamoja baada ya kikao cha mrejesho kwa viongozi wa kata kilichofanywa na waraghbishi kata ya Nanda wilaya ya mbogwe kinachohusu maswala ya haki za binadamu #chukuahatua