Hapa ni katika gati NO 2 la maji lililojengwa na shilika la oxfam kwa ajili ya kutusaidia sisi wananchi , maji yalikuwa ni kelo kubwa sana saiv afadhali ingawa bado kuna uhaba wa maji.Tunaomba mashilika mengine muendelee kutusaidia maana majibado ni kelo.@majaliwakassim@ UNHCR
Hi nishule ambayo kamawalivo hapa yaan wanasomea chini ya miti kwaajili ya uhaba wa madalasa ambayo hayajitoshelez wanateseka sana hilo liangaliwe hii ni shule ya msingi rusohoko wilaya kibondo mkoa kigoma
Hizi ni shule mbili tofaut ambapo shule ya msingi rubilizi imeazimishwa madalasa na shule ya msingi rusohoko ambapo imepelekea kuwa na ukosef mkubwa wa vyumba vya madalasa na kupelekea wanafunzi wa shule ya msingi rusohoko wasomee injee ambao ni kwa madalasa matatu wazili liangal
Huu n mkutano uliofanyika leo katika kiniji cha rusohoko kitongoj chakaogemo bambao wamefanikiwa kutatua kero zilizokuwepo katika kitongoji hicho juu ya uboreshaji wa maji ya chemichemi na magat yaliyopo kwaajili ya maji ya uwezeshaji wa jua
@FidesiMashaka Hii ni shule ambayo ina upungufu wa madalasa na pia upungufu wa nyumba za waalimu kilingana na idafi ya wanafunzi waliopo na waalimu tunaomba msaada wako

Sisi walinzi H/w) Kibondo,idara ya utawala,tumeandika barua hii kuomba msaada kwa viongozi wa juu.Kwani ni miezi(8) tumenyimwa mikataba na tumenyimwa malipo,tunaendelea na kazi.tumetuma barua hizi kwa njia ya posta.Tunaomba msaada wenu. @TZMsemajiMkuu@majaliwa_kassim@TAMISEMI3
Hi nishule ambayo kamawalivo hapa yaan wanasomea chini ya miti kwaajili ya uhaba wa madalasa ambayo hayajitoshelez wanateseka sana hilo liangaliwe hii ni shule ya msingi rusohoko wilaya kibondo mkoa kigoma
Jamani tunaomba watu wa #kibondo tukumbukwe make barabara inayopitisha magari makubwa na inaiingizia kipata kikubwa nchi. harafu barabara iwe hivo? ebu serikali mrifanyie kazi mutuwekee rami, masika ni hatari, kiangazi ndo bac kabisa @MbarawaM @WizaraUUM @MagufuliJP@billmarwa https://t.co/ErsT4QWVfz