Raia wanapofurahia kifo cha mtu ambaye si tu ni kiongozi wao wa kisiasa bali wa kiroho, ujue kuna tatizo kubwa. Unaweza kuwaita raia hawa majina yote—wajinga, wasaliti, wasio na uzalendo, vibaraka—lakini muhimu ujiulize kwa nini wananchi wasiohitaji hata hayo madaraka wanafikia hatua hiyo ya kuingia barabarani kumshukuru adui wao kwa kuwaulia kiongozi wao?
Unaweza kuwakejeli raia kwa upofu wa kutokuona mbali na ukasahau kuwa raia, kwa kawaida, wala hawahitaji mambo mengi kumfurahia kiongozi wao. Kubwa zaidi ni hitaji lao la kujisikia salama kuishi kwenye nchi yao kama watu huru bila kujali misimamo yao ya kisiasa. Kwamba ukiweza kumfanya raia aamini anaweza kuwa na maoni tofauti na wanasiasa na bado akawa salama kuendelea na shughuli zake, hawezi kuwa na shida la madaraka yako.
Tatizo ni watawala kufikiri wanastahili kuheshimiwa hata kama hawaheshimu utu wa wananchi. Unapokuwa mtawala unayejiita wa kiroho na bado unafikiri dola na mamlaka yako ndicho kitu cha maana zaidi kukilinda kuliko usalama na ustawi wa watu unakuwa umekosa uhalali wa kudai kutokuingiliwa na mataifa mengine. Unapoona ni sawa kupambana na watu wako na hata kuwaua unatoa wapi uhalali wa kudai kuheshimiwa? Huwezi kuwaongoza watu usiowalinda. Utapita na msafara mirefu na watu wanakudharau.
@Eagleseye02@Sun_tz_u20sj@JoyceHuru Huyu alikua green guard alihusika sana kuwaumiza wapinzani na alikuja kuwa diwani wa migungani sisi tunamjua vizuri mnoo
@Skinny36479503@JoyceHuru Wee ni quma kweli humjui vizuri huyu Ngumee!!..kwanza ni green guard pia aligombea udiwani kata ya migungani ccm ana huyu ni moja ya vibaka waliowakata mapanga wapinzani wa ccm ila leo kauliwa na hao hao ccm "What's goes around comes around"
HUYU JEFFERY EPSTEIN NI NANI NA
ALIFANYA NINI?
Agiza popcorn 🍿 Linaanza maana ni Picha🧵
“2008 Jeffery alishtakiwa na kuhukumiwa kwa kosa la kumuingilia kinguvu binti wa miaka 14 na hii ilitokana na malalamiko ya mzazi wa huyu binti
@De_Cyola@LeloMushi3@HildaNewton21 Kwa mfano Kuna huyu kichomi wa ccm mwenyekiti wa wachimbaji wadogo John Bina unafikiri anakaa upande wa wenye haki??