Leo @ChademaTz tumehitimisha oparesheni #255KatibaMpya kanda ya Magharibi mikoa ya Kigoma, Katavi, Tabora
Tumefanya mikutano mikubwa na midogo mikoa 3, wilaya 16, majimbo 25, Kata 403, Mitaa 367, Vijiji 1,211, Vitongoji 7,028
Oparesheni iliongozwa na Mwenyekiti @freemanmbowetz
Wakati wa Magufuli alionya sana watumishi wa umma kutumia mifumo ya kidigitali kukusanya taarifa za umiliki wa mali za watumishi wa umma kwa hoja zinavuja, lengo likiwa kuficha ukwasi wa viongozi, Leo tumerudi tena huko. #MariaSpaces#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
SHEREHE YA PENTEKOSTE
Mwanadamu kwa asili aliumbwa na hali ya utegemezi, (lakini alipewa uhuru, wa kumchagua anayetaka amtegemee). Na ndio maana Mt. Agustino anasema โMwenyezi Mungu aliyekuumba pasipo wewe kupenda, hawezi kukukomboa pasipo wewe kupenda.โ
Kata ya Usevya, Jimbo la Kavuu Mkoa wa Katavi.
Mkutano umefanyika saa tatu (3) asubuhi.
Ni mwendelezo wa oparesheni #255KatibaMpya katika mkoa wa KATAVI.
Wananchi wanapokea elimu ya #KatibaMpya na wanasema wanaitaka hata sasa.
MaCCM yamefanya wananchi wa vijiji kuwa maskini.
Kuna uteuzi mkubwa sana katika awamu ya 6 unagusa watu ambao wanalalamikiwa kufanya mambo mabaya wakati wa awamu ya 5, je kuna mabadiliko ya kweli ? #MariaSpaces#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Katiba ya wananchi hutoa mamlaka kwa wawakilisha kusimamia mapato yote , Kwa sasa Rais wa Tanzania anaweza kufanya matumizi ya fedha za umma kinyume na bajeti na kusiwe na uwajibikaji wa aina yote ile, tunataka katiba imara. #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi#ChangeTanzania
Leo Tukiwa Njiani Kuelekea Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu Kwenye Mkutano Tumetembelea Moja ya Shamba la Pamba Dhahabu Nyeupe Bei ya Pamba Imeporomoka Kutoka 2080 Mpaka 1060 wakulima wa Pamba.Kilimo Sio msingi mkuu wa maendeleo ya uchumi wa Tanzania kwa sera za CCM
Mama Dr. SSH Rais wa JMT amefutilia mbali yote haya! Sasa hivi Watz tunayo Oxygen nyingi sana! Bado tu kumwachia Sanga na wenzake na kisha amalizie na Katiba Mpya awe Rais wa pili wa mioyo ya Watz kama Nyerere kwetu Wazee. Yaani Dr Samia changamkia hiyo fursa ya Katiba mama!!
Madaraka ya viongozi awe Rais au nani yanatokana na wananchi na Serikali inapaswa kuzingatia suala hilo la kikatiba. - - Joseph Butiku #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi