On Road To Achieving Your Dreams, You Must Apply DISCIPLINE. But More Importantly CONSISTENCY. Coz Without Commitment, You'll Never Start, And Without Consistency, You'll Never Finish.
@Sisimizi3 Mbina ni kawaida mdogo kumheshimu mkubwa
Pia wabongo tuna hospitality by nature... Vile vile mond alishikwa mkono na OBO wakati anaanza harakati za International so hawezi kumvimbia mwanae
@JamiiForums Kuna nchi ukienda wakisikianhata kwa mbali umemzingua raia wao utajuta
Ila kule nchi ya Popo utamlalamikia mgeni anakunyanyasa wao watamlinda mgeni kwa jina Mwekezaji
@Vanysimba@AFRIKA_JANA@CloudsMediaLive Kabla ya Diamond alianza Lady JayDee alikataa kuwasujudia na akaendelea kutamba na mangoma yake ndo akaja Mond bin Laden