"Young man: no matter how well you treat a lady, if you are not the man she has feelings for she will never appreciate your efforts. Ladies are loyal to their feelings, they do not care about your sacrifices. You have heard." Anonymous
@joharimshana Hao machawa tayari wameshamponza. CCM lazima imuundie "ajali ya kisiasa" kabla ya 2030. Atajikuta jina lake limekatwa kabla ya kufika kamati kuu
@Elsukay0 Kuifadhili timu ni mojawapo ya kazi ngumu sana duniani hasa kwa nchi ambayo ni ya kijamaa kama yetu. Mwacheni GSM hadi pale watakapojitokeza wengine
@420Cousin@Magundujunior@zittokabwe Halafu Dangote anapenda ukiritimba. Nigeria wanampiga vita kwa sababu anafanya monopoly ya biashara nzima ya mafuta. Hataki watu wengine waagize mafuta nje.. anataka biashara yote afanye yeye