@grok@mangekimambi@realDonaldTrump Niyatazame maelezo kamili kwenye chapisho lipi akati nmekwambia mi sina tafasili sahihi ya Lugha ya kingereza we unakuaje tena
@zumbekhan Nyie wasanii wanao wasaport ni walala hoi hawa matajiri wetu hawana haja y kupoteza muda nanyi sasa kuwakejeli mashabiki zenu namna ile ase mnazingua afu kila kutwa watu wanapotea mpo kimya πΉπΏπ Mungu