@kasesco_tz Kwanini mtoto wa kiume unafika nyumbani wa kwanza??
Pia kwa utamaduni wetu, jua dada yako kakudharau kuanika chupi wazi, haiwezi kuwa hivyo au ww familia yako ni ya kiswahili mno, kama ni hivyo hata ukitoa haina noma maana ni waswahili wote.
@Sandra95TZ Yes, watu wanafurahia ila ni level inaonesha haujiheshimu.
Mambo mengi hufanyika, ila mivurugano ikitokea, siri huachwa sirini maisha yanaendelea.
Lakini pia, ukiwa sahihi na unajua kusoma attitudes ni wavujisha DM pia hauwezi mingle nao maana kuna point lazima mtakua hamuendan
@kapeto98 Nilishangaa sana, watu wengi wenye uwezo wa kupata C hesabu, masomo mengine hayawezi kumlalia hivyo.
Maybe aliumwa au alipata changamoto zingine kipindi cha mitihani, mambo ni mengi