Ombi Langu Kwa BOT
Benki Zote Ziwekewe Sheria Kwamba Ni LAZIMA Kuonyesha Makato/Gharama Zote Kwa Mteja Kabla Mteja Hajaamua Kufanya Muamala
Kama Ambavyo Miamala Ya Simu Unaona Makato KABLA Hujaizinisha Malipo Ndivyo Hivyo Na Benki Zote Ziwe
Mteja Asifichwe Makato Ya Fedha Zake
@jwise017 Wanamichezo na wasanii wengi hutokea single parent families ambapo mara nyingi mzazi ni mama. Hii ndio sababu wanasherehekea mafanikio yao na mama zao. Kada za taaluma, biashara na uongozi wengi wao ni watoto waliotokea familia za wazazi wawili na ni kundi linaloonekana kubebwa
Sema yule Mrundi ni kisu bana kwanza amejaa kuanzia kifua hadi bakta, jicho kungu, lips mnato face card imekaa mahala pake.
Hata mimi ningekojoa ndani tu😁
Kwamba hawajui tofauti ya ‘documentary na coverage ya kawaida ya taarifa!? Kuna two sided and balanced story kwa documentary ? Yaani persona life experience inakuhitaji nini wewe @MsigwaGerson
Show ya Kikosi Cha mizinga hapo YouTube imewekwa na mtu aliye screen record kutoka kwenye account ya TV E
Kila muda notification zinashuka kutoka kwenye group zake na WhatsApp na battery low
Level yetu ya Usela kwenye mambo serious ni wa kupigiwa mfano
Kwako Meneja @TrillAlbie
Tukio la jana ule ndio uhalisia wa mahusiano dhidi ya Viongozi na Wananchi tulipofikia. Nchi inahitaji kuponywa muda bado tusije fika mbali zaidi
Msiwasikilize CHAWA wanawadanganya mnakubalika, wao wanataka HELA na VYEO lakini ukweli wanaujua kwenye nafsi zao kuwa HAMKUBALIKI😁
Kama wewe ni mwanaCCM omba CDM iendelee kua imara, ndio watu pekee watakupigia kelele likikuta la kukuta huko kwenu.
Wanachama wa CCM hawana kawaida ya kumpigia kelele mtu wao hata afanyiwe unyama kweupe. Akili kumkichwa.