@bbcswahili BBC ni media kubwa sana. Nashindwa kuelewa inakosaje mada zenye mantiki na faida kwa wafuatiliaji mpaka inaanza kutuletea mada za kipuuzi, za matusi, na za kuhamasisha ngono!!
I'll stop following BBC news very soon.
@FatumaCute Ungetumia muda huo na nafasi hiyo kutangaza hata nyanya tu ungeonekana una akili sana. Watu wanaowaza matusi kama wewe hubakia ombaomba milele
@swahilitimes Kwahiyo anataka kusema nini?
Je, amepata bilioni ngapi kwa kuwa Chadema?
Chama kina uhai wa miaka 30 lakini hakina hata majengo ya Ofisi. Chama hakina Uwekezaji wa aina yoyote. Chama ni ombaomba kila siku. Umri wa miaka 30 hata kama ni binadamu ameshafikia umri wa kujitegemea
@ExMayorUbungo Unaonesha kuwa wewe ni dhaifu. Unamuogopa Prof.
Nilikushauri awali. Pigana vita yako bila kumtajataja Prof. Tunahitaji kusikia ulichanacho ili kutushawishi. Sio kumshambulia Prof.
Unabugi sana
@MsigwaGerson@KassimMajaliwa_ Mwambieni Mama, tunampongeza kwa kazi nzuri. Lakini hatuoni kama anachukizwa na RUSHWA. Hatuoni akikemea rushwa wala kuonesha nia yake ya dhati ya kupambana na Rushwa.
Akielewa, basi mwambieni aanze na mapambano ya rushwa ndoni ya chama chetu, CCM.
RUSHWA NI ADUI WA HAKI NA UTU