@privaldinho Kuna mwamba anaitwa Steve worgu wa enyimba aliweka tatu kipindi Cha kwanza TU tena baada ya malalamiko kuwa simba ilionewa mchezo wa awali kule Nigeria hapa game ya maludiano simba kafa tatu goli worgu
@OffsideGhost Nakubali kamba nimeilewa kama Ina ukweli ndani yake weka namba ya mzee nyoka maana kama kuwaduga washadukika sana Hawa viumbe wa miguu miwili Sasa sio mbaya kwa faida ikiwa zamu ya kiumbe wa miguu minne kudugwa kwa maslai
@SuluhuSamia Pole kwa majukumu ya kila siku Mh Rais nakuomba barabara ya bunju B kuelekea ilipo hospital ya wilaya ya mabwe pande uliyoizindua wewe Mh Rais wakati huo ukiwa vise pressed ikumbuke ijengwe kwa kiwango Cha rami maana wagonjwa wanateseka sana hasa wale wenye operation Mh Rais
@chiefodemba@medanizasiasa Duuuh ndio aina ya viongozi wetu Hawa kweli duuuh tuna mengi sana ya kusema kuhusu aina hii ya viongozi ila hatuna uhakika kama tutabaki uraiani baada ya kusema ukweli na uhalisia halisi juu ya aina hii ya wateule wa mh rais
@davitheempire PSG kapewa kazi maalumu ya kuwaondosha waingereza tangu kumi na sita Bora mpka final alianza na Liverpool robo Aston villa now nusu ni zamu ya arsenal
@PMadeleka Kumbe bila polisi kututawanya kwa bomu za machozi na kutumia nguvu awawezi kupata ushindi bado awajasema soon wanaenda kutufafanulia ramani yao ya ushindi wenye msaada wa kipolisi kwa miaka yote hiyo iiyopita maana kwasasa wanatusomea kipande kimoja kimoja
@SuluhuSamia Mh mashuleni michango imezidi kila siku kuna mtihani mtoto anatakiwa aende na mia tano ya mtihani kila siku na ijumaa ni 2100 ya mtihani ukizichannga hizi pesa kwa mwaka ni zaidi ya mzazi anaesomesha mtoto private school but nyuma ya pazia tunaambiwa elimu ni bure maybe ujui mh