ANGANI SPACE is Developing The First Satellite Built In Tanzania,
An Earth Observation Small Satellite chip known as Kilimanjaro 1 with expectation to Lanch it on March 2022 from Alba Orbital on SPACE X's Falcon Spacecraft
Link 👇
https://t.co/pIKWSQ4xsC
@cag_wa_mtaa@capitanpapilon Huyu mwamba nyimbo zake zote huwa zinatimia mbeleni kwenye maisha ya watu. Nyimbo kama Jera na Kafia Geto zinatimia sana Miaka ya sasa kwa washikaji
@Sirmin_ijeghaa@Sirjeff_D Msiisahau event ya #Vision2025 aliyohost pale mlimani city akamleta Kalvin Banks wa SA, somebody Nambuso na Jesica wa USA.
Zilitolewa ahadi nyingi sana pale lakini waapii
@arayasili@prolific_88 Bei ya Surron E-bike ni $4,600 (Tsh 12M) ikiwa nje. Hapo bado gharama za usafirishaji na kama unavyojua vifaa vyenye battery kubwa husafirishwa kwa gharama kubwa zaidi maana ni risk kubwa. Usishangae kuifikisha bongo yaweza kua ni zaidi ya 20M
Charger yake tu ni $390 = Tsh 1M
@PinguRahim@fumbokhanJr Kama wewe ungekuwa uneiweka kwako, ungekua unafanya withdraw kwaajili ya kununua nini hapo nyumbani?
Idea ya ATM ni kurahisisha upatikanaji wa hela sehemu zenye huduma sasa home unalipia huduma gani?