"Ikitokea kuwa na dalili za uhuru wetu kutaka kuwekwa rehani na sisi tukikaa kimya tusishangae makaburi ya wasisi wetu yatakapotetemeka. Watanzania wasiwe tayari kuona uhuru wao ukiporwa"
Shaka Hamdu Shaka
Mwenezi CCM Taifa Leo Akizungumza na Waandishi wa Vitabu
Najiuliza tu kimyakimya hivi,
JK alijenga UDOM bila kuwa kwenye Ilani ya CCM. JPM kajenga Bwawa la Stiglers, Ufufuaji ATCL, Kuhamia Dodoma, Daraja Kigongo/Busisi nk bila Ilani ya 2015/20. Kulikuwa na kosa!Serikali kufanya jambo la masilahi kwa nchi inafungwa na Ilani!? Maajabu!
2/3
#NUKUU:
Sehemu ya nukuu katika hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. @SuluhuSamia katika hafla ya uzinduzi na Makabidhiano ya shule ya msingi Museveni Chato mkoani Geita iliyojengwa na Serikali ya Uganda, leo Nov 29, 2021.
#CCMApp
3/3
#NUKUU:
Sehemu ya nukuu katika hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. @SuluhuSamia katika hafla ya uzinduzi na Makabidhiano ya shule ya msingi Museveni Chato mkoani Geita iliyojengwa na Serikali ya Uganda, leo Nov 29, 2021.
#CCMApp
Acha vitisho visivyo na maana kwa mtumishi wa mahakama. Mahakama ndo itaamua whether he is a terrorist or not. Whatever decision by the court, We will have to thank the court that Justice is done. And if the room for appeal will be open then aggrieved party will appeal.
#telljajitiganga kesho ni jaribio lingine kwake atende #haki kulinda #uhuruwamahakama au awe upande wa udhalimu. Serikali imepinga barua kwa kuwa nyaraka zilizoombwa zitathibitisha kuna askari wametoa ushahidi wa uongo hata central hawakuwepo #MboweSioGaidi
Ile nilieleza Instagram. Ilikuwa nawatetea wachimbaji wangu wadogo wadogo dhidi ya dhulma. Mwisho walipewa mgodi ule na wanachimba dhahabu mpaka leo. Muwakilishi wa kweli hudhalilika hata hufa akidai haki ya watu wake. Ni picha ya heshima wala siyo ya dharau.
Acha dharau. Mimi ni wa kupiga hela kwenye kuchongesha sanamu Kweli? Hata kama ningetamani kupiga, siyo hapo! Kulikuwa na vitalu, plot za lodge kwenye hifadhi, vitalu vya kuvuna mbao etc. Huku ndiyo kwenye hela, lakini kwa uzalendo na uadilifu nilianzisha mfumo wa Mnada wa wazi!
Rais atahusishwa kwa position yake kwa mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wake.Lakini Rais hawezi kuhusika kwenye maswala ambayo yapo mahakamani.Mfano, Kesi ya Mbowe.Hiyo ipo Mahakamani,Rais hana mamulaka ya kuingilia mahakama kwenye majukumu yake.#Separation of powers#
Rais anasemwa kwa sababu ni RAIS na si kwa sababu ya jinsia yake.
Rais ni kilele cha UTENDAJI kwa hivyo hata ukikwaza na karani wa Serikali utalalamika:
“Kwanini Rais hayashughulikii haya mateso tunayoyapitia”
Kusemwa comes with the job.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndg. @hamdu_shaka Novemba 21,2021 katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama katika mashina , amekagua mradi wa ujenzi wa jengo la hospitali ya wilaya ya Tanganyika pamoja Na ujenzi wa bandari ya Kalema wilaya ya Tanganyika .
Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka aendelea na ziara ya kuimarisha uhai wa chama katika mashina pamoja na kukagua miradi ya maendeleo wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi leo Novemba 2021.
#KaziIendelee#TunaImaniNaSamia
Mashinani ndo kunatoa taswira sahihi ya uimara wa chama chochote cha kisiasa.Hakuna mjadala kwamba CCM uimara wake unaonekana wazi kuanzia mashinani hadi Taifani.Kaziiendelee🇹🇿 @ccm_tanzania@ccm_zanzibar@uvccm_tz
“Kabanga Nickel Ltd. is seeking to raise $1.3 billion for a massive mining project in Tanzania that the company says could help ease electric-vehicle manufacturers’ insatiable demand for nickel.”
Aidha, ujenzi wa barabara ya Kisangara - Shighatini (km3. 57) na Kifula - Butu (km 3.57) itajengwa kwa kiwango cha lami na itagharimu zaidi ya shilingi milioni 441.
"2025 kazi ya Kukinadi Chama cha Mapinduzi itakuwa rahisi sana kwa kasi hii ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 Chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan"
Shaka Hamdu Shaka, Leo Geita