@prossoff Shetani huaga anamtumia mwanamke kuaribu uzao wa mwanaume.
Shetani hanaga time na mwanaume Atamtumia mwanamke ili amvuruge mwanaume.
Na mwanamke anapokua mtu wa ibada hapo kiroho automatic anamprotect mwanaume /uzao wa mwanaume.
@fkatyega@Nindi_Jr@gobraco Wewe unaona kabisa Nicky Fury wamemuedit kama bado kijana kabisa alafu unasema sio phase 1 Kimtiririko Captain Marvel Ilitakiwa itoke baada ya Captain america ambapo ni phase 1 sema imetoka kipindi cha phase 3 2019 baada ya infinity war ili awepo kwenye Endgame.
@jr_mbasha @MosesGermanico@Nindi_Jr Umeenza kumfatilia wanda lini wewe mpk unasema mchawi mdogo ππMimi nakwambia Wanda Maximoff ni Jina lake la movie na scarlet witch ni Super power yake au character yake kama ilivo Captain america(Steve rogers) Iron Man (Tony Stark)