@Deecomple@NorthKiNG25 Pale hata mm sio mkandarasi ila hata mm niliona ni utopolo, same to magomeni kanisani mpka mkwajuni yale yale na mkandarasi ni yule yule
@GlaDiAtore255@john_dicksone@Adventure_36 Ww dereva nn mwanangu๐
Waambie wachukue huo mkeka wapige mara 25% kisha watoe 7000 ya gas waseme ni ngapi hapo nimesepa nayo,โฆ huo sijaweka hela za nje ya app
@kayombo_96@Rakeem0101@MarekaMalili Hawa wadogo labda ukikuta bank zetu hizi kubwa wale viongozi wa juu wanamaisha kinoma mzeee, watu wanakunja mpka 25 na ni ma senior managers tu