Sungura hubeba mimba kwa mwezi mmoja na huzaa vitoto vingi kwa wakati mmoja. Tembo husubiri kwa miaka miwili kuzaa kitoto kimoja.
Usijilinganishe. Kila mtu ana safari yake ya mafanikio. Hujachelewa. Saa nyingine ukubwa wa kile unachokifanya ndio hasa "unaokuchelewesha."