ujio wa wakimbizi ni fursa kwa wana #kibondo ila inachangamoto kiusalam. wananchi jirani na kambi ya wakimbizi ya nduta hasa kijiji cha #Nengo wanatekwa sana na majambazi mashambani, na wizi wa mazao ni mkubwa sana mtusaidie jaman @mwigulunchemba1@billmarwa @Joseph10111650
Imedaiwa kwamba huko nchini Kenya mwili uliokuwa umehifadhiwa kwenye chumba cha maiti umepotea. Sikiliza #SUPAMIX kupitia https://t.co/hwggYT3ud2 kufahamu zaidi
Ofisi ya shule ya msingi kanyinya wilayani kibondo mkoa wa kigoma ambayo ni ya miti na udongo imeezekwa kwa nyasi hivi ndo tunakuza #elimutanzania. Mh Rais @MagufuliJP tusaidie kwa hili