Hii chuki alokuwa nayo hyu jamaa dhidi ya "UISLAMU" ndo yale maneno alosema ALLAH ktk Sura ya 3:118๐๐ฆ
"Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao,Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi." (Quran 3:118)
Ndo harakat wanazopgania hzo inawezkana wanatak kutuua Waislam wote
@OfficialKyejo@MkulimaKante ๐คฃ๐คฃ๐คฃ karibu SONGE tuvute pumzi! Lakin kwendurutu ni mashamban hamna watu huko, kwamfyomi huko ndo wanaish watu walima iliki