@MarwaIcon@MsigwaGerson Dogo hajitambui ndugu, kalewa cheo badala ya utu. Mungu yupo itamgarimu sana kwenye taifa hili, katudanganya sana lakin8 hajui tuko smart
@MsigwaGerson Jirekebishe na kauli zako za uongo mdogo wangu. Ndo unapotea hivo bado kitambo kidogo. MMUNGU hadhihakiwi kaka. Speak the truth will set you free
Tanesco bariadi kuna shida gani? Umeme kila baada ya masa kadhaa unakatika. Usiku wa kuamkoa leo umekata karibu mara nane na muda huu hakuna https://t.co/LUKx8hkZiX hakuna taarifa yoyote@ tanesco simiyu
@Tanesco_Twiga
@Thommunkondya Kwani hanyi kama sisi wala mihogo? Magu alikuwa na walinzi zaidi ya hao yuko wapi? Heshimuni utu wa binadamu maana sisi wote no sawa ata kama tumelalia maharage ya jana