Vikao formal vya kujenga Ideas mpya mara nyingi havina real impact kama zile random meetings, mpo road trip, au mmeenda gate away, or any relaxing event.
Ubongo wa binadamu unafanya kazi vizuri akiwa kwenye mazingira comfortable au yale ambayo anayafurahia.
Men,
When you build your company,
Please respect it.
Don't sleep with female employees.
Don't promote women because you sleep with them.
Put a clear boundary between you and female employees.
#MasculinitySaturday
NOVENA YA KRISTO MFALME.
SIKU YA 02
Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina.
TAFAKARI
"Ufalme wa Uzima"
Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, na uzima ulikuwa nuru ya watu (Yoh 1:2)
Mimi nalikuja ili wawe na nuru, kisha wawe nayo tele (Yoh 10:10).
Kiongozi:
Bwana Yesu Kristo, Mfalme wa milele na wa ulimwengu wote, ambaye ulikuja ulimwenguni ili kutupa uzima wa milele; kugeuza utamaduni wetu, kuheshimu na kulinda zawadi ya uhai wa binadamu, hasa ya watoto ambao hawajazaliwa na wagonjwa mahututi, ili wote wanaofurahia zawadi ya maisha katika ulimwengu huu, wapate kujua zawadi ya uzima wa milele na kufurahi pamoja nawe katika Ufalme huo. Unayeishi na kutawala pamoja na Baba, katika umoja wa Roho Mtakatifu, Mungu mmoja, milele na milele, Amina.
Wote: Mungu Mwenyezi na wa milele umefanya upya viumbe vyote katika Mwanao mpendwa Mfalme wa ulimwengu wote. Watu wote wa dunia, ambao sasa wameumizwa na jeraha la dhambi, wawe chini ya utawala wa Mwanao wa pekee. Anayeishi na kutawala pamoja nawe
na Roho Mtakatifu, Mungu mmoja milele na milele, Amina.
Kristo Mwokozi wetu na Mfalme wetu, fanya upya ndani yetu uaminifu kwa Kristo Mfalme. Tunaomba neema ya kukuweka juu ya ulimwengu huu katika mambo yote.
Ewe Mfalme wa Amani, ufalme wako ufike katika maisha yetu na katika maisha ya dunia nzima. Kristo Mfalme wetu, tafadhali jibu maombi haya kama yanapatana na Mapenzi yako Matakatifu *[Taja nia yako hapa]*
Tunapotafakari ujio Wako wa pili katika utukufu kwaajili ya hukumu ya wanadamu wote, tunakusihi uturehemu na utupe neema ya kuwa Watakatifu. Tunaomba kwamba sio tu tukae na Wewe milele lakini kwamba ututumie sisi tusiostahili kuwaleta wengine katika Ufalme Wako kwaajili ya sifa na utukufu wako.
Kristo Mfalme, Ufalme wako ufike! Amina.
*LITANIA YA KRISTO MFALME*
Bwana, utuhurumie
Kristo, utuhurumie
Bwana, utuhurumie.
Baba wa Mbinguni Mungu, Utuhurumie.
Mwana Mkombozi wa dunia Yesu, Kuhani wetu Mkuu, Nabii wa Kweli, na Mfalme wetu Mkuu, Utuhurumie.
Roho Mtakatifu Mungu, Utuhurumie.
Utatu Mtakatifu Mungu Mmoja, Utuhurumie.
Kristo Mfalme, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme mwingi wa rehema, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme ambaye kwa Rehema yako Kuu tumepewa Sakramenti ya Kitubio, Tawala mioyoni mwetu.
Kristo Mfalme wa Upendo ambaye hutupatia Neema yako ya uponyaji, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme katika Ekaristi, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme uliyetabiriwa na manabii, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme wa Mbingu na dunia, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme na Mtawala wa Mataifa Yote, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme furaha ya Mbinguni, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme mwenye huruma kwa raia wako, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme uliyepewa mamlaka yote na Baba wa Mbinguni, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme ambaye kupitia kwako sisi tumefanyika kuwa wana wa Mungu, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme ambaye Ufalme wako sio wa ulimwengu huu, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme ambaye Moyo Wako Mtakatifu umejaa Upendo kwa wanadamu wote, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme ambaye ni Mwanzo na Mwisho, Alfa na Omega, Tawala mioyoni mwetu.
Kristo Mfalme ambaye ametupa Maria Malkia, kuwa Mama yetu pia, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme ambaye utakuja tena kwa Nguvu na Utukufu Mkuu, Tawala mioyo yettu.
Kristo Mfalme ambaye Enzi yako tunaikaribia kwa ujasiri, Tawala mioyoni mwetu.
Kristo Mfalme uliyepo kweli katika Sakramenti Takatifu, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme ambaye ulimfanya Maria kuwa Mgawaji wa Neema Zote, Tawala mioyo yetu.
Kristo Mfalme Mtawala wa nguvu zote za kidunia, Tukuhudumie.
Kristo Mfalme wa Mataifa Yote, tiisha chini ya miguu yako nguvu za kuzimu, Tukuhudumie.
Kristo Mfalme wa Mataifa Yote, Nuru ya nuru yote, angaza giza linalotuzunguka, Tukuhudumie.
Kristo Mfalme wa Mataifa Yote, Ambaye Rehema zako ni Kubwa sana hata kutupunguzia adhabu ambazo tunastahili kwasababu ya dhambi zetu, Tukuhudumie.
Kristo Mfalme wa Mataifa yote, uliyetambuliwa na kuheshimiwa na Mamajusi kama Mfalme wa Kweli, tukuhudumie👇
Men,
✌️
That is a wrap!
These #MasculinitySaturday lessons will continue next week
Remember the 6S of Sexual Health
• Sun ☀️
• Sweat 🏋️♂️
• Steak 🍖
• Sleep 🛌
• SALT 🧂
• Semen Retention 🔒
— and FASTING 🍽
Utaona watu uliosoma nao wameoa na wengine wameolewa
Kuna wengine watakua wanamiliki nyumba na magari mazuri
Usijisikie vibaya,hayo ndiyo Maisha
Unatakiwa tu kufanya kila kitu kwa hatua.
Na muhimu zaidi unahitajika kusimama kwenye malengo yako.
Update ya Huyu mtoto Mama yake kalazwa JKCI wakati akisubiri Operation mpaka anafika hospitali tulifanikiwa kuchangia 75,125, tunaweza endelea kumshika Mkono kupitia hii namba ya Mama yake 0766401682 ALLY MILANZI ubarikiwe 🙏
Isaya 61:9
[9]Na kizazi chao kitajulikana katika mataifa, na uzao wao katika kabila za watu; wote wawaonao watakiri ya kuwa wao ni kizazi kilichobarikiwa na BWANA.
Never stop being a good person no matter how bad someone else treats you. Their words and their actions reflects who they are, not who you are. You can sleep with peace of mind knowing that you never hurt anyone. Stay kind.
Huyu chalii miaka kama 3 iliyopita alikuja ofisin akiwa anauza sox, nikamuuliza kwanini unauza sox muda ambao ilitakiwa uwepo shuleni?
Akanijibu mama ake amelala nyumbani na anaumwa sana kiasi ambacho kimemfanya auze sox ili angalau akanunue panaldo za mamake.
Akaniambia baba
Usiwe na haraka kwenye maisha huku mtaani mioyo ya watu imebadilika sana.
Utapewa kidogo ulichokuwa na haraka nacho, Utalipa kikubwa chenye gharama ya amani yako..
Chagua uelekeo mbele ya speed.
Pichani ni mtoto SHADRACK MTIMIZI anayesumbuliwa na tatizo la moyo linalopelekea tumbo lake kuvimba na kuzimia mara kwa mara
Unaweza kumshika mkono mama mzazi wa Shadrack kwa kumuwezesha gharama za kumhudumia mwanae apate tiba kwa namba
0766401682: ALLY MILANZI
Ulishawahi kwenda kwenye Liveband ukasikia Watu wanatajwa na waimbaji, unafahamu SIRI iliyoko nyuma yake?
Watu wengi, huhisi watu hawa wanapenda majigambo ya kupenda kuitwa itwa. Lakini wasjiue kuwa wengi wanafanya vile kama STRATEGY.
Yaani unaenda pale unamshikisha 50k muimbaji alafu unamwambia... TAJA JINA LANGU mf; "Sajo Mzee wa MARKETING"
Akitaja hivyo, Kuna watu watazama kumtafuta huyu jamaa ni nani? Mbona anatajwa tajwa sana? Ndipo wanatafuta profile yako na kuzama!!
Na Live Band ni mziki wa watu fulani Classic. So jamaa wanalenga watu classic ili wapate wateja wao humo.
Ndio maana utasikia, wazee wa magari, wazee wa nyumba, n.k
WAFUATE WATEJA WAKO WALIKO, KISHA FANYA WASIKIE MARA KWA MARA BRAND YAKO!!