Nashukuru Mungu alinipa ujasiri wa kukabili mapito yangu bila kuingia kwenye biashara za kula Unga na kuanza kumlaumu kila mtu. Lord i thank you ๐๐พ.
Waandishi wa Habari tunajukumu la kuelimisha jamii kuhusiana na athari zinazotokana na uwepo wa vitendo vya ukatili wa kijinsia hususani kwa wanawake na watoto
@bete_tv@GjAssenga@TAMWA_@VPyuza