"Unataka ukumbukwe kwa jambo gani. Ukisikia Dr Rose Reuben, ujue alijijenga, alijengwa, akajengeka." Dr Rose Reuben Mkurugenzi wa TAMWA
#andikakigital#
@TAMWA_
Waandishi wa mikoa ya TABORA NA MWANZA walipata mafunzo ya uandishi wenye tija.
Mafunzo data journalism
Mafunzo ya uchunguzi
Na mengine
Asanteni Tamwa
@TAMWA_@WomenAtWebTZ_MC
"Unyanyapaa umenifanya kutojua kusoma wazazi wangu wajitaidi kunihimiza lakini ushirikiano mdogo kwa baadhi ya walimu ulikuwa chanzo cha mimi kutojua kusoma."
*AGNES MMARI*Ushuhuda katika Kongamano lililoandaliwa na Internews.
@InternewsTz@TAMWA_
Kongamano la siku ya kimataifa ya watu wenye ulemavu jijini dodoma.
Kila tarehe 3 dec dunia huadhimisha Siku hii.
Kwa kuliona hili shirika la Internews Tanzania limeandaa kongamano hili kwa ajili ya kuwaenzi watu wenye ulemavu.
Mama yangu wa kambo ameninyima chakula na kunipiga hadi nimelala kwa mjumbe kisa nimepoteza shilingi 200 ya kununua dawa.
"Mtoto wa darasa la tano"
@WiLDAFTz@TAMWA_@JudithFerdinan5#16DaysofActivism2021
Zuia ukatili
Waandishi wa Habari tunajukumu la kuelimisha jamii kuhusiana na athari zinazotokana na uwepo wa vitendo vya ukatili wa kijinsia hususani kwa wanawake na watoto
@bete_tv@GjAssenga@TAMWA_@VPyuza
Ni kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto,
Ni binti wa miaka 18 ananieleza kuwa hasikii vizuri sababu akitaja ni kipigo kutoka kwa ndugu zake wa karibu.
Tuzungumze na ndugu kuepusha ukatili
#zuiaukatili#16DaysofActivism2021@TAMWA_@WiLDAFTz