@the_fortuna73@askariwahovyo Shida ni kwamba habari umeweka kinafiki na kizushi, ungeweka habari iliyokamilika ungeeleweka vizuri, ila wewe umeandika kama vile unampaka kinyesi Bi. Sarungi. Hebu funguka ueleweke vizuri! Maana hapa watu wenye utimamu wanasoma!
@thom_mushi@AbroadTanzania Sawa apende Media ila iwe ni kwa issue very sensitive. Wakati mwingine unaeza jiuliza how he became a Leader while he can't handle Citizens issues!?
@laws19222@MariaSTsehai Ndiyo maana unaeza ona hizi dini ni UTAPELI mtu, unawaumiza binadamu wenzio kesho uko zako IBADANI tena safu ya mbele kabisa na sadako unatoa, unamshukuru Mungu amekufungulia milango yako ya baraka. Aisee! ๐ค
@Sameer_Elibarik @IAmHaule Kaka, hiyo haina tofauti na ile hesabu ya Tikiti au Nanasi katika makaratasi, ingia huko field uone palivyo pa moto. Hayo mahesabu ya kwenye makaratasi kila mtu angekuwa tajiri.