Literacy rate ipo juu Zanzibar kuliko Tanzania bara kwa asilimia 10%+.
Hata ukilinganisha literacy rate kwa kuzingatia umri, Zanzibar wanaongoa kwenye kila age bracket, kuanzia watoto mpaka wazee.
FYI: Zanzibar wana miaka miwili ya elimu ya lazima ya awali huku Tanzania bara ikiwa na mwaka mmoja.
Ukisema Uweke Kitita Cha Shilingi Laki Moja Na Hamsini (150,000) Kama Akiba Kila Mwezi, Baada Ya Miaka Mitano Na Miezi Saba Utakuwa Umetunza Kitita Cha Shilingi Milioni Kumi (10,000,000)
Tukisema Uanze Kuweka Akiba Mwezi Huu Wa Saba 2026 Basi Utafikisha Milioni Kumi Januari 2032. Haujachelewa Bado Mwanetu.