@ejdecency@fatma_karume Prove boyound a reasonable doubt how corruption was made bro unae chati nae bahati mbaya hujui carrier yake shida wa bongo wa naongea saana bila uthibitisho hv Leo ukiambiwa itoe uthibitisho utatoka nini?
@ejdecency@fatma_karume Shida ilio kaaa kwenye vichwa vya watu wa simba they beleive in corruption ndo maana hata utachaguzi mnasema Rushwa what if ukichukuluwa mbele ya mahakama na uthibitishe kuwa yanga wamea pesa unaweza? Sio kila linalo kuja mikoni una andika Bro by Professiona
@master_kileo@Advocate_Jebra@rollymsouth Hataka kama utasema unashitakiwa kamti zenyewe ni vivuli vya TFF hakuna kamati huru hapa profeenal ni Mwanasheria but kinacho endelea TFF ni - +bro
@Advocate_Jebra@rollymsouth Matukio mengi yana tokea but kamati ya maadili (mgongo wa TFF) hai simamii kanuni
Tukio la Inonga limetolewa maamuzi wapi?
Huwa naji uliza maswali mengi saana Lkn acha tuishi humo
@Advocate_Jebra@rollymsouth Hata kama Yanga Wata lalamika they have a reason.
1. Kabwili Ali raise issue ya kupewa Rushwa na upande wa pili yanga Walipeleka malalamiko up to date nini kilifanyika?
2.morriso.the
@Advocate_Jebra@rollymsouth They know nini wanafanya jebra anajua alicho kiandika
Shida TFF pale ni kikundi kimoja hivi some times unaweza Sema ni washikaji washikaji wahuni (samahani kw a kutumia Lugha hio lakin ndo kinacho one kana Katika macho ya watu
@master_kileo@Advocate_Jebra@rollymsouth Una maanisha yanga hawana akili kufika na kufanya hivyo?
Hawajafata sheria sio kila kitu kiwe public Bro ndo maana sometimes unatakiwa kuwa na issue ambazo ni secret usipende kila mtu ajue mambo yako?!!!!!!!!!?
@George_Ambangil@privaldinho Una elewa unacho kifanya wasaidieni vijana waje maana ya kazi zao na kuilinda Brand ya makampuni ambangile big up sana umemfichia mapungufu kijana wako lakin ajifunze
@Vicmgawe@HildaNewton21 Nani amwombeee msamaha wacha waendelee kuumbuks tu always Huwa na Sema kati ya skta mbovu nchi ni Jeshi la polisi Mungu awasamehe tu
@Lute_peleila@kigogo2014 Wew uliona wap mdhamini wa ligi anamiliki timu kwenye hyo hyo lig?? Kama tff ndo wamekiuka mashart ya mkataba kwann GSM hawajadai fidia??
Malalamiko day