A sister is looking for husband, send DM/WhatsApp if interested.
Kindly retweet, her potential husband might be on your timeline.
DM /WhatsApp (https://t.co/FNy6XpzHwJ) if your are also seeking for Husband or Wife, get paired for FREE.
Miaka 61 baada ya uhuru wa bendera KIPARA analipa influenza waseme mgao wa umeme tatizo ni ukame. Watawala wasiokuwa na mbinu za kujikinga na ukosefu wa umeme kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi ni wa kukataliwa. Kiumbe timamu hawezi kuwaunga mkono wahuni wanaomlaza gizani.
TABIA ya maafisa wa Serikali KUVAMIA watu MAJUMBANI huku wakiwa na KONDOM na ROSHENI ni mambo ya KIPUUUZI ambayo hata MKOLONI hakuwahi kufanya. MRISHO GAMBO amethibitisha haya. Tunahitaji Serikali inayoheshimu HAKI ZA BINADAMU na UTAWALA WA SHERIA. Huku siyo KUUPIGA MWINGI.