@rollymsouth Kutakuwa na ugeni Wa dharura na ule ugeni Wa maandalizi kikubwa vijana tuwabane kwenye ajenda zenye maslahi mapana Kwa taifa na kwetu kuepuka hivyo vichombezo vyao vya mlipuko kama ugonjwa Wa kipindupindu
Taasisi ya Charity Event Group chini ya mwanzilishi wake @MpetaKassim January 8, 2023 wamebisha hodi Chalinze.
Kuna mengi wameyafanya huko, sisi tumekusogezea machache tu na unaweza kubofya link kutizama zaidi. https://t.co/1ArSIUC444
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt. @TuliaAckson amewataka wananchi kuacha tabia za kuendekeza majungu na badala yake wajikite katika kujenga taifa. (1/2)
Congratulations to me nawashukuru sana kwa kuwa pamoja finaly we made it. Tuendelee kuwa pamona kwa design kali zijazo๐ชต๐ช๐ช๐ hakika haikuwa rahisi N.I.T
Tunajivunia kuwa Benki inayohamasisha michezo kama sehemu ya kimarisha afya na kujenga mshikamano baina ya wafanyakazi wetu. Leo tumezindua msimu wa pili wa ligi yetu ya #CRDBBankSuperCup ๐
@CRDBBankPlc#Togetherformore
Happy Birthday to Me.
Leo ni kumbukizi ya siku ambayo nilizaliwa namshukuru Mungu, na pia ni zaidi ya miaka 25 iliyopita nikiwa katika fani ya upigaji picha. Asante kwa kuwa wewe ni mtu muhimu sana katika kunitia moyo hasa katika kipawa hiki cha ๐ธ๐ฅ.