Wasanii wamekuwa wanampost IDI AMINI MAMA na kufunga Comments.
Wengine wanafika mbali wanafunga mpaka likes. Ni kama wamepost BANGI.🫵🏾😁
Nyie si mnasema mmejenga MASHULE.
Mmejenga Madaraja.
Mmefungua nchi.
Kwanini hamtaki kupongezwa?
Leo mtu anaewafanyia vitu vizuri hivi watanzania anapostiwa kama BANGI?
Yeye huko aliko anajisikiaje ?
Akitaka kukushukuru Msanii kwa kumuunga mkono hadharani kama wewe ulivyomuunga hadharani anafanyaje?
Mnakumbuka Kilio cha juzi cha msanii wa kike ROSE NDAUKA?
Sasa kasikilize zile video kisha linganisha na yanayoendelea kwenye maisha ya wasanii sasa hivi.
Kale kapimbi KASTIVU MENGELE ndio kamiliki halali kaakili za wasanii wote.
Ndio kanajiona kamasta ka hizi kazi.
Hiki kipindi kanajiona kenyewe ndio kamungu kawasanii.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Jana baada ya kushinda sikulala, niliamua kuchambua timu zote kubwa zinazotoa magoli na kuziamini mechi nzima zipate goli 1 tu kwa Tsh 100 tu tutapata Milioni 41 Zinaanza leo hadi Tarehe 15 mwezi huu Watu 22 watakosa goli 1 kweli?? Repost @Samalentips 🚜
Nikikuambia wewe kijana jobless unaweza unda mpaka $50 kwa siku,
Kwenye PIKI kwa kutumia smartphone na bundle lako utaniona MOTIVATIONAL SPEAKER
Anyway, Niko na full course. Natoa BURE hakuna kisingizio.
Like & Repost...
Comment neno PIKI kisha ni DM neno PIKI
Pablo Escobar was one of the most notorious Drug Lords the world has ever seen.
but he was also really good at what he did.
I found a list of his 12 strategies that supposedly made him become so successful.