@0101DUBU Mahusiano ya kishakua yanapokea ushauri kutoka kwa mtu mwingine hayawezi kudumu mahusiano ni watu wawili sio watatu unampenda mtu anakutunza anakujali halafu unataka uachane nae kwasababu ya hadhi ๐๐ madem bhana
@IbrahimNgonyan@EJ_Mwita Wekeni standards kwamba ili uwe sheikh inabidi usome sana ili uweze kukabiliana na waumini wenye level mbali mbali za kielimu kwasababu kuna muda kwenye mafundisho hautumii dini unatumia akili mtu akuelewe
@raphyrodrick Inategemea form Six umesoma combination gani? Wewe unafikiri waliosema kwenda Uni minimum D mbili walikua wapumbafu yaani 4 points only unapata Bachelor unaijua Electromagnetism ya Advance wewe? ๐